Mafanikio ya "Water" yalimfanya Tyla kuwa msanii wa kwanza mwenye umri mdogo zaidi kutoka Afrika Kusini kuingia kwenye chati ya Billboard Hot 100 nchini Marekani tangu Hugh Masekela mwaka 1968. Wimbo ...
Ikiwa ni miaka minne tangu kiwanda cha muziki wa Bongo Fleva kumpokea msanii Platform na kumthibisha kama moja ya bidhaa bora kwenye soko la muziki. Msanii huyo ameiamba Mwananchi Scoop, migogoro kati ...
Dar es Salaam. Katika ulimwengu wa muziki na sanaa, uwezo wa msanii kufanya utumbuizaji wa moja kwa moja 'live performance' ni mojawapo ya vipengele muhimu zaidi vinavyochangia mafanikio na ufanisi ...
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo ...