News

ARUSHA: SERIKALI kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo nchini kupitia Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha Mount Meru ...
Akizungumza kwa niaba ya Mjumbe wa INEC, Mratibu wa Mafunzo wa INEC, Cecilia Sapanjo amesema katika kipindi hicho cha ...
YAOUNDE : RAIS wa Cameroon, Paul Biya (92), ambaye kwa sasa ndiye mkuu wa nchi mwenye umri mkubwa zaidi duniani, amefanya mabadiliko makubwa katika safu ya juu ya jeshi la nchi hiyo, hatua ambayo ...
LONDON : WATOTO wanane wenye afya nzuri wamezaliwa nchini Uingereza kupitia mbinu mpya ya upandikizaji wa mimba (IVF), ambayo ...
DODOMA; RAIS Samia Suluhu Hassan leo Julai 17, 2025 anatarajiwa kuzindua rasmi Dira mpya ya Maendeleo ya Taifa ya Mwaka 2050, ...
DODOMA; RAIS Samia Suluhu Hassan leo Julai 17, 2025 anatarajiwa kuzindua rasmi Dira mpya ya Maendeleo ya Taifa ya Mwaka 2050, ...
Kwa ujumla, msongamano unaathiri furaha ya watu kwa kuleta hisia za kuchoka na kukosa raha wakati wa kusafiri. Unaongeza pia ...
SERIKALI imeonya kwamba haitamvumilia mfanyabiashara yeyote atakayeuza au kusambaza dawa bandia au vifaatiba duni kwa ...
WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amezindua Kampeni ya Mali Shambani kuhamasisha vijana kuingia kwenye kilimo biashara. Bashe pia, amezindua mfumo wa huduma za ugani kidijiti (Ugani Kiganjani) ...
ALASKA : TETEMEKO kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 7.3 katika kipimo cha Richter limetokea katika pwani ya jimbo la Alaska, nchini Marekani.
JERUSALEM : WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amepoteza mshirika mwingine muhimu katika serikali yake ya muungano, baada ya chama cha Kiorthodoksi cha Shas kutangaza kujiondoa serikalini.