Uchunguzi wa BBC umefichua mwanamume anayeendesha mtandao wa biashara ya ngono kutoka kwenye maeneo ya kifahari ya Dubai, akiwanyanyasa wanawake walio katika mazingira magumu. Mwanamume huyo, ...
Maelezo ya picha, Nyambura (kushoto) na Cheptoo (kulia) waliwaambia wachunguzi wa siri jinsi walivyofichua watoto kufanya ukahaba huko Maai Mahiu - kituo cha malori. 4 Agosti 2025 Uchunguzi wa BBC ...